IDADI YA WANAOHAMA NGORONGORO YAZIDI KUONGEZEKA

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema mpaka kufikia Agosti 18, 2022 jumla ya kaya 1002 zenye watu 5,382 zimejiandikisha kwa hiari yao wenyewe kuhama katika eneo la hifadhi ya Ngorongoro na kuelekea katika Kijiji cha Msomera, Wilayani Handeni eneo ambalo limetengwa na Serikali kwa ajili ya wakazi hao. Ameongeza kuwa kati ya kaya hizo zilizojiandikisha tayari kaya